Monday, February 15, 2021

#ELIMU_BURE: Mambo 5 Makubwa Yakuepuka Unapokuwa Ofisini Ili Uweze Kupata Matokeo Makubwa.

Jambo la kwanza ni kuweka ahadi ambazo unajua hautaweza kuzitimiza.

Kuna watu wengi sana ambao wamegombana na MABOSI wao...
...au WAFANYAKAZI wenzao kwa sababu ya kutoa ahadi ambazo walijua kabisa hawataweza kuzitimiza.
Kuna wengine, wanajua kabisa kuwa wana kazi nyingi sana na hawataweza kufanya kwa muda wanaoahidi...
...ila basi wanaamua kutoa ahadi isiyotekelezeka ili kuwaridhisha wengine.
Jifunze kusema kile ambacho utaweza kufanya.
Watu huwaheshimu wale ambao wakisema kitu basi wanakifanya kwa WAKATI kuliko wale ambao wanatoa VISINGIZIO kila siku.
Lazima ujenge hali ya kuaminika katika kutekeleza majukumu yako kwa wakati...
...na njia nzuri ya kufanya hivyo ni kutotoa ahadi ambayo hauwezi kuifanya.
Kabla haujasema utafanya na itachukua muda gani, tafakari kwanza na utoe jibu ambalo ni la uhakika.
Je, umeshawahi kukutana na mtu ambaye kila akitoa ahadi huwa hatekelezi kwa wakati?
By the way kama umefaidika na makala hii...
...na ungependa nikusaidie zaidi kupata matokeo makubwa 2021 nashauri usome eBook ya "STRATEGY 2021, Siri Za Kupata Matokeo Makubwa Ndani Ya Mwaka Mmoja."
Thamani ya eBook hii ni Tsh 30,000+
Ila leo unaweza kuipata kwa Tsh 4,999 Tu! (Okoa Tsh 25,001 nzima)
Kuweza kujifunza Siri Za Kupata Matokeo Makubwa Ndani Ya Mwaka Mmoja.
Tuma Tsh 4,999 Tu!
Kwenda M-PESA
0756 094 875 (Ipyana Mwangoka)
Kisha tuma:
1. "UTHIBITISHO WA MUAMALA"
2. Neno "STRATEGY 2021"
Kwenda WHATSAPP 0756 094 875
NB: NDANI YA MASAA 24 UTATUMIWA eBook Zako kupitia Whatsapp au email yako.
See You At The Top
Joel Nanauka.


No comments:

Post a Comment

#UJASILIAMALI: NAMNA YAKUTENGENEZA UBUYU WA ZANZIBARI

  MAHITAJI YA UBUYU WA ZANZIBAR 1.Sukari vikombe 2 2.Maji vikombe 2 3.Nusu kikombe unga wa ubuyu 4.Vikombe 4 ubuyu wenyewe 5.1/4 pili pili y...